Wednesday, October 5, 2016

WAFANYAKAZI WA GREE WESTPRO KATIKA UCHANGIAJI WA DAMU

Wafanyakazi wa Green WestPro waichangia damu Hospitali ya Muhimbili

Wafanyakazi wa Green WestPro wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Afisa Ustawi wa Jamii wa Hospitali ya Muhimbili, Erica Ishengoma kabla ya kuanza zoezi la kutoa damu. 
Meneja Mkuu wa Green WestPro, Allan Sudi akipewa maelekezo kabla ya kupima uzito.
Meneja Mwendeshaji wa Green WestPro, Abdallah Mbena akipima uzito kabla ya kutoa damu. 
Afisa Ustawi wa Jamii wa Hospitali ya Muhimbili, Erica Ishengoma akichukua taarifa za Meneja Mkuu wa Green WestPro, Allan Sudi kabla ya kuanza kutoa damu. 
Meneja Mkuu wa Green WestPro, Allan Sudi akifanyiwa maandalizi ili kuanza kutoa damu, na picha ndogo ya mkono wake akitoa damu. 
Zoezi la kutoa damu kwa Meneja Mkuu wa Green WestPro, Allan Sudi likiwa limekamilika. 
Wafanyakazi wengine wa Green WestPro wakichangia damu

No comments:

Post a Comment